Raymond catans marcel pagnol biography wikipedia
Pagnol alizaliwa tarehe 28 Februari sehemu iitwa Aubagne , iliyoko kusini mwa Ufaransa. Akiwa mtoto mkubwa kati ya watoto wa mwalimu aliyefahamika kwa jina la Joseph Pagnol A and seamstress Augustine Lansot. B [ 1 ] Marcel Pagnol alikua katika mji wa Marseille akiwa na wadogo zake Paul, Rene na dada yake mdogo aliyefahamika kwa jina la Gernaine.
Karika hali ya mshangao, hasa kwa baba yake, Pagnol, aliweza kufahamu kusoma akiwa katika umri mdogo. Hata hivyo mama yake hakumruhusu kushika kitabu hadi alipofikisha umri wa miaka sita, akiogopa kupatwa na ugonjwa wa akili.
Marcel Pagnol Ŕ Analysis.
Mnamo mwezi wa saba mwaka , familia yake alikua katika maadhimisho ya sherehe zilizofahamika kama Bastide Neuve [ 1 ] — iliyofanyika katika kijiji kimoja cha La Treille — katika sikukuu za majira ya joto, ambapo watu wengi huyatumia wakiwa katika milima ya Aubagne na Marseille. Akiwa karibia na umri ule ule, afya ya Augustine ambayo haikuwahi kutengemaa, ilianza kuwa mbaya kwa mara nyingine, na hatimaye tarehe 16 Juni , alipata maambukizi ya kifua na baadae kufariki akiwa na umri wa miaka Mwaka , akiwa na umri wa miaka 18, Marcel alifaulu katika mitihani yake ya filosofia na hatimaye akajiunga na chuo kikuu cha Aix-en-Provice na kuchukua masomo ya maandiko.
Wakati Vita vya Pili vya Dunia vilipoibuka, aliitwa kwenda kufanya kazi lakini baadae aliachiwa kuondoka kutoka na hali yake kutokua nzuri. Tarehe 2 Machi , alimuoa Simone Colin katika eneo la Marseille na mwezi Novemba alifanikiwa kuhitimu katika mafunzo ya Kiingereza. Mwaka , alihamia katika jiji la Paris ambapo alikua akifundisha kiingereza hadi mwaka , [ 1 ] ambao aliamua kujitolea maisha yake kwa ajili ya kuandika michezo ya kuigiza au tamthilia.
Katika kipindi hili alikua akifanya kazi na kundi dogo la waandishi , ambapo baadae alishirikiana na mmoja wao aliyefahamika kwa jina la Paul Nivoix ambapo waliandika tamthilia ya Merchants of Glory ambayo iliweza kuzalishwa mwaka Baadae aliamua kuondoka katika mji wa Paris na kurejea katika eneo alilozaliwa ambapo aliendelea kutunfa tamthilia mbalimbal ikiwamo ile ya Marius ambayo baadae ilikuja kuwa filamu yake ya kwanza iliyotoka mwaka Akiwa yupo mbali na Simone Collin mkewe wa pili japokuwa ilikuwa si kwa talaka hadi , alianzisha uhusiano na mchezaji muziki wa kiingereza aliyefahamika kama Kitty Murphy, na kupata mtoto mmoja aluyeitwa Jacques Pagnol, aliyezaliwa tarehe 24 Septermber Mnamo mwaka , akiwa katika matembezi katika jiji la London , Pagnol alitembelea moja kati ya nyumba za sinema na kufanikiwa kuona sinema iliyokua na umaarufu sana na hivyo aliamua kutoa muda wake mwingi katika utunzi wa filamu.
Hapo, aliwasiliana na studio za Paramount Picture na kupendekeza kuwa kitabu chake cha tamthilia kilichofahamika kama Marius kiweza kufanywa katika filamu. Baadae filamu ilitengenezwa, ikaongozwa na Alexander Korda na kutoka tarehe 10 Oktoba Ilifanikiwa kuwa moja kati ya filamu za kifaransa zilizopata umaarufu mkubwa sana.